Full width home advertisement

Travel the world

Post Page Advertisement [Top]



            *TWO MEN ~ ONE MESSAGE*
.Tokeo la picha la WHY WE WANT YOU TO BE RICH by DONALD J. TRUMP & ROBERT T.KIYOSAKI.
             SEHEMU YA NNE

 *SURA YA ISHIRINI NA TANO*
KWA NINI BAADHI YA WATU WANAPENDA KUWA MATAJIRI LAKINI WANASHINDWA KUWA MATAJIRI.
👉🏻Mwandishi wetu KIYOSAKI anasema kwamba kuna sababu nyingi ambazo zinawafanya watu wengi wanashindwa kuwa majiri na wakati watu hao wana uhitaji wakuwa matajiri katika maisha yao, moja wapo ya SABABU hizo ni:





📌Uvivu.

📌Tabia mbaya.

📌Kuto kuwa na elimu.

📌Kuto kuwa na ujuzi.

📌Kuto kuwa na mwongozo mzuri.

📌Mtazamo hasi.

📌Athari mbaya kutoka kwa marafiki na familia.

📌Kutokuwa na maono.

📌Kutokujitambua.

📌Kuto kuwa na hamasa.

👉🏻Lakini Mwandishi anasema kwamba kuna sababu moja ambayo ina mfanya mtu ashindwe kuwa tajiri,sababu hiyo ni mazingira ambayo si rafiki kwa mtu huyo kuwa tajiri.

👉🏻Kuna watu wanauwezo mkubwa katika sehemu fulani lakini utakuta wako mazingira tofauti ambayo haya waruhusu wao kuwa matajiri au kuonesha uwezo wao mkubwa na hii inatokana na mazingira ambayo yana mzuia.


👉🏻Mwandishi anasema kuna mtu anaweza kuwa tajiri lakini mazingira ndiyo yanayomzuia kwa mfano yeye alizaliwa kwenye mazingira ambayo yalikuwa yana mzuia kuwa tajiri kwa sababu kwao ilionekana mtu kuwa tajiri ni kama kitu kibaya sana.

👉🏻Inawezekana upo katika mazingira ya kazi,mazingira ambayo yanakufanya ushindwe kuonesha uwezo wako wakufanya mambo fulani, wakati mwingine unaweza ukawa upo kwenye mazingira ambayo watu wanaogopa kupoteza mali zao na hizo ndio tabia za watu walio ajiliwa.

👉🏻Mmiliki ambaye anatengeneza mazingira ya kuwa vutia wafanyakazi wazuri ,wafanyakazi ambapo watafanyakazi vizuri bila kupata hasara na wafanyakazi wataweka fedha kwa watu wanaojua masuala ya fedha kuliko wao wenyewe kuwa wanajua masuala ya fedha.
Ukweli ni kwamba mmiliki wanamna na mazingira ya hivyo ni serikali.

👉🏻Mazingira yatakayo kufanya ufanye vizuri katika mambo unayoyapenda katika maisha yako ni haya;

📌Kama unataka kuongeza ujuzi wako nenda shule,maktaba au kwenye stoo ya vitabu.

📌Kama unataka kuwa na AFYA nzuri na kukua kiafya nenda kwenye jimu,endesha baiskeli au michezo mingine.

📌Kama unataka kukua kiimani,nenda kanisani na usali mara nyingi zaidi

📌Kama unataka kuwa na mali,nenda sehemu ambayo watu wanakuwa matajiri kama watu wanaopangisha majumba.

📌Kama kujua ulimwengu ukoje basi nenda maeneo ambayo hujawahi kufikia na fanya vitu unavyo ogopa kufanya au ulivyo ogopa kufanya nyuma.

👉🏻Ni muhimu kujiuliza maswali yafuatayo

📌Je familia yako inakisaidia wewe kuwa tajiri je ni kweli au si kwel?_________________________

📌Je mazingira uliyopo yanakusaidia wewe kukuza uwezo wako wakitu fulani?___________

📌Je unajua uwezo wako au uwezo ulionao ndani yako?___________________________________

📌Je unatembea na uko jirani na watu ambao wanaweza kukuza uwezo wako?______________

📌Kama uko kwenye mazingira yanayo kuruhusu kuwa na uwezo mkubwa je uko tayari kujituma kujikuza katika mazingira hayo?______

👉🏻Mwandishi anasema swali la mwisho hapo juu ni la muhimu sana kwa sababu pamoja na kwamba unaweza ukawa na uwezo mkubwa na upo kwenye mazingira mazuri yakufanya jambo ila unaweza kushindwa kutekeleza kwa sababu hujitumi.
Kama alivyosema baba tajiri wa KIYOSAKI kwamba UVIVU NI MUUAJI WA UWEZO WAKO MKUBWA ULIONAO NDANI YAKO.

👉🏻DONALD anasema jaribu tafuta mazingira sahihi ambayo yatakufanya uwe na mtazamo chanya na uwe na uwezo mkubwa katika maisha yako.

👉🏻DONALD anasema hamna faida ya kuwa masikini,ukweli ni kwamba umasikini ni tatizo ambalo kila mtu hapendi.

👉🏻Lakini anasema tukumbuke urithi na mazingira ndio yanatufanya tuwe tumeathirika na kutufanya tuwe hapa tulipo katika maisha yetu na hakuna sababu nyingine.

👉🏻Sababu nyingine ni kujua majukumu yako na machaguzi yako jitahidi uwe na mtazamo wa mafanikio na hakikisha unafika unapotaka kuwepo katika maisha yako.

💥Fanya zoezi hili tafuta wastani wa kipato cha marafiki zako sita halafu jilinganishe na wewe unataka kuwa sehemu gani kwa kulinganisha sehemu waliopo marafiki zako na mishahara yao.

📌Keep focus intact,and focus on the solution.

                      YOU MUST BECOME A RICH
                      Ahsante,
     Usikose kesho sura ya ishirini na sita ya kitabu.
                     Phone.0742364499.
      Email.mwanyikajackson428@gmail.com.

No comments:

Post a Comment

Bottom Ad [Post Page]