Natumaini ni mzima wa afya nakuletea hatua 101 ambazo ukizifuata unaweza kufanikiwa katika maisha yako katika kila nyanja ya maisha yako iwe kiafya,kielimu,kibiashara na hata katika masuala ya imani.Hatua hizi zinatolewa kila mwisho wa wiki yani ijumaa na jumapili ili kukuandaa wiki inayofuatia baada ya kufanya vibaya wiki ambayo imekwenda kuisha au hata kukuhamasisha pale ulipo fikia na kujitathimi unatakiwa ufanye nini ili kuwa katika mafanikio ya hali ya juu sana.
Hatua hizi zinatolewa kila mwisho wa wiki mara mbili kama nilivyoeleza hapo juu na hatua hizi zitaishia siku ya *Jumapili 22 september 2019* kama unaweza kupanga malengo maalum panga kabisa halafu siku ya mwisho tutathimini tumefanya nini panga kisiri siyo kila mtu ajue,andika kwenye noti halafu tuta tathamini.
Kwa wewe ambae umekosa mtaji anza wiki hii au kesho hakikisha kila siku unaweka 1000/= baada ya siku hizi 364 utaona unakuwa na kiasi gani!?
*NB;Zimebaki siku 344 ili kufikia malengo yetu na kumaliza hatua hizi karibu sana anza nami leo!*
Panga malengo yako maalum twende kwa pamoja na mimi nitakuwa nakupa hatua mbili kila wiki kwa mfuatano hatua moja mpaka hatua ya mwisho 2019.
*HATUA YA SITA*
*006* . *KUWA NA MTAZAMO WA USHINDI NASIYO WA KUSHINDWA*
👉🏻Unapokuwa na malengo tayari lazima uwe na mtazamo chanya kwamba utashinda au utatimiza malengo yako hatakama uko katika wakati mgumu wa maisha yako.
👉🏻Tafuta marafiki ambao wanakupa mawazo na mtazamo chanya ambayo yanaendana na malengo yako hii inakusaidi kujihakikishia una timiza malengo yako katika muda uliojipangia.
👉🏻Ni vema kuwa na mtazamo chanya na mtazamo wenye kushinda kuhusu malengo yako.
*NB;Kama bado hujapanga malengo angalau moja tu,Tafadhari panga andika lengo lako katika notibuku halafu tengeneza mchakato utakaofanya kila siku wa kuhakikisha lengo hilo unatimiza na mimi nitakuwa na kukumbusha kuendelea kuwa katika mchakato maalum kila mwisho wa wiki!*
👉🏻Step 006 is Have an Unstoppable Attitude.
101 STEPS TO SUCCESS
Achive your goals,
Phone,0742364499.
Email.mwanyikajackson428@gmail.com.
No comments:
Post a Comment